作词 : Lil Ma
作曲 : Lil Ma
编曲 : Lil Ma
Walidhani nimelost?
Calibrate that compass
Bado Niko area
Sting ya malaria
(Mwiki)
Utanipata huko interior
Hawapendi nikisema I’m a boss
When I get it done wanajua wako lost
Shenanigans! Hamna kitu ya kupost?
Vaticans ! Me ntawabless bila cost
Nikipata hiyo doo mnataka hiyo mboo
Haina mambo but hizo story hunimboo
See what I saw with the dos n the dont’s what I did what I know with the seeds that I saw
Watu siwajui wanalia ni ma bro
Cons hawajui wanadeal na mapro
Saa hii Wanadai wanapenda nikiflow!
Ama ju ni doo inaingia nikidoz?
Siri si Siri Ju beste ya beste ni friend of a friend
Wiki ya pili imepita! Na Bado unalewa na deni ya rent
Sipendangi madeni na kama unapewa unapewa mangumi ka kumi na dent
Meeting attending naendanga tu willingly ni ile tu moja za family events
Saa hii nina dame ,anadai Nina game,
Akidai kitu phone , me nampatia iPhone
Nikifinya icon … wasee wataride on you !akuna ati kitu kama bygones
Juu sa zingine siezi think coz I’m high on
Beam! Jim! Wacha God ashine on us! Plus!
Hawaezi sema kitu on our tuff!
Wakidai watajua tukiseti rough
Tunawashow vitu na hamskizi kwanini
Amini usiamini hao ndio wana baridi
From naks toka mwiki hadi uko lindi
Tunadeal na mastress, tunadeal na ma weaklings
Walidhani nimelost? Calibrate that compass